Wednesday, 19 November 2014
Ziara ya Askofu wa kanda ya magharibi
Ni muda mchache tu baada ya askofu wa kanda ya Magharibi pia akiwa na maaskofu wengine wa majimbo saba kutembelea West Lake zone Bible College Biharamulo.Askofu alifika kujionea maendeleo ya chuo hiki ambacho kimeonyesha mafanikio makubwa kati ya vyuo vingine vya namna hii hapa Tanzania.
Pia askofu ambaye ni Mwenyekiti wa bodi ya chuo alifika kutembelea eneo ambako chuo hiki kitajengwa huko Katoke.Askofu alipongeza walimu wa chuo hiki wanavyojitilea,pia alimpongeza mkuu wa chuo kuongeza idara ya masomo ya sheria na ICT hii italeta mapinduzi makubwa juu ya kueneza injili( .....itaendelea juma lijalo)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Chuo hiki nakiwe tegemeo kwa wapentecoste wote
ReplyDeleteGlory be to God. It's right season for Jesus discipel's to strongly and widely grow in faith and wisdom.
ReplyDelete